Mitsubishi Outlander 2005 vs Nissan X-trail 2003

Mitsubishi Outlander 2005 vs Nissan X-trail 2003

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Habari za muda huu wadau.

Nimeona gari hilo la mitsubishi, nikavutiwa nalo sana kwa uwezo wake wa kubeba abiria jumla ya saba ukilinganisha na x-trail yenye uwezo wa abiria 5.
Kabla ya kufanya maamuzi, naomba mwenye kujua detail zake kwa undani zaidi anijuze. Kama nitashawishika kwa maana ya ubora wake dhidi ya x-trail, nataraji kuuza x-trail yangu.

Napenda kujua mambo ya fuatayo:
Uwezo wake wa kuhimili barabara zetu
Gharama za matengenezo na service nyingine za kawaida kwenye gari.
Upatikanaji wa spare parts na mafundi wa kuweza kulirekebisha pale linapoharibika au kuhitaji service kama kumwaga oil nk mambo mengine muhimu ya kuangalia wakati unataka kununua gari.



Nafarijika sana kwa michango yako katika uzi huu.

Ahsanteni sana.
 
Wanabodi, naomba kujua mazuri na mabaya ya gari Mitsubishi Outlander hasa ya kuanzia mwaka 2005 hadi sasa.
Nimetokea kuzipenda kwa muonekano wake lakini naomba kuijua zaidi kabla ya kufanya maamuzi.
 
I think its a nice car. Me mwenyewe nimeipenda. Gari nyingi za Mitsubishi ziko Stable sana barabarani. After all its a latest version of car.
 
X trail ni gari nzuri. Sema tu umeichoka. Ni vizuri lakini kubadilisha usafiri. Hata mimi nimeipenda Outlander. Mitsubishi wana magari mazuri na yako very stable bara barani. "So I hope hat hiyo outlander itakuwa ni gari nzuri.
 
Back
Top Bottom