Shaycas
JF-Expert Member
- Feb 13, 2009
- 906
- 112
Habari za muda huu wadau.
Nimeona gari hilo la mitsubishi, nikavutiwa nalo sana kwa uwezo wake wa kubeba abiria jumla ya saba ukilinganisha na x-trail yenye uwezo wa abiria 5.
Kabla ya kufanya maamuzi, naomba mwenye kujua detail zake kwa undani zaidi anijuze. Kama nitashawishika kwa maana ya ubora wake dhidi ya x-trail, nataraji kuuza x-trail yangu.
Napenda kujua mambo ya fuatayo:
Uwezo wake wa kuhimili barabara zetu
Gharama za matengenezo na service nyingine za kawaida kwenye gari.
Upatikanaji wa spare parts na mafundi wa kuweza kulirekebisha pale linapoharibika au kuhitaji service kama kumwaga oil nk mambo mengine muhimu ya kuangalia wakati unataka kununua gari.
Nafarijika sana kwa michango yako katika uzi huu.
Ahsanteni sana.