🚨 Mitsubishi Outlander a.k.a Kenge kwenye msafara wa Mamba

Umesahau na uchawi mkuu
Mitandaoni kuna watu wana matatizo ya akili,hata mtaani pia,leo jioni nilikuwa naenda shop na dogo kwa mguu,mimi ni mgeni huu mtaa,kuna boda akapita na kunitukana huku pikipiki inaenda
Jamaa alikuwa anataka apite upande wangu,mkononi nilikuwa na mkasi wa kukatia bati nilitamani asimame nimvuruge lakini baada ya kutafakari nika conclude sio kila mtu ana akili
 
Mkuu nimeipenda zaidi Outlander uso wa Shark ya 2013.
Kuna hii nineona version ya PHEV. Unaizungumziaje??
Nimeilewa mnooooooo, nilikuwa nataka kuchukua Vanguard, ila nishaghairi, naitaka hii.
Nipe maoni yako kuhusu version hii Outlander Phev 2013.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
vanguard ni toyota rav4 miss Tz iliyochangamka (longbase version),achana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…