Mitsubishi outlander budget 28m ya seat 7

Mitsubishi outlander budget 28m ya seat 7

Nataka kununua Mitsubishi outlander wadau naulizia fuel consuption yake lita1 inakwenda km Ngapi ..navip outlander kuanzia ya mwaka upi nichuke na yenye specification zipi ndio Bora zaid
Picha yake
 
Nataka kununua Mitsubishi outlander wadau naulizia fuel consuption yake lita1 inakwenda km Ngapi ..navip outlander kuanzia ya mwaka upi nichuke na yenye specification zipi ndio Bora zaid
Nunua Rav kili time au juu yake.....miss tz
 
Mtu yeyote anayeulizia sifa za gari huku akitilia mkazo ulaji wa mafuta, mwambie level yake ni IST, VITZ, PREMIO na zingine kama hizo. Ukitaka kununua SUV swala la ulaji wa mafuta weka pembeni.
Nikweli mkuu..Sasa mim nakituo Cha mafuta kwangu so ishu Mzee nikujaza tu fulltank
 
Back
Top Bottom