Na wengi wenye MIPIRA ya kibabe hua kwny parking zao wana Toyota kama back up,kwa hio ile TI yetu ifanye kama back up mzee baba.Sijawahi kupanda zaidi ya kuziona barabaran Ila Kwa kifupi sikuhizi wabongo hawaogopi kununua Magari tofauti na Toyota.
Ni ubishi Tu maisha wengine wanaona Bora waendeshe MIPIRA yenye majina ya kibabe ingawa wanakuwa wameshamiliki Toyota na kuzichoka...
Mimi na wewe ni muda wa kubadilika huu sio miaka yote tunaendesha Toyota tu
Hahahaha!!!!Na wengi wenye MIPIRA ya kibabe hua kwny parking zao wana Toyota kama back up,kwa hio ile TI yetu ifanye kama back up mzee baba.
Hahahaha!!!!
Mkuu huu ni mwaka wa 3 bado nachanga Tu ili nibadili gari lakini bado Hali haijatulia...
Mungu yupo IPO siku nitaifanya TI Yangu kama backup
Hio ipo ligi moja na Rav 4, Harrier, X trail etcJina lenyewe la kibabe hilo, naitakia mapambano mema na akina Subaru pamoja na entry level suv's
Hali tete mzee baba,tunaendesha Phoenix tu mjomba.Ina maana JF nzima hakuna ambaye ana first hand experience na hili gari?
Daaahh noma sana 😄Hali tete mzee baba,tunaendesha Phoenix tu mjomba.
tupo wengi mbon ila majukumju nd yanazidIna maana JF nzima hakuna ambaye ana first hand experience na hili gari?
Michango yenu inahitajika ndugutupo wengi mbon ila majukumju nd yanazid
tuko pamoja ndo maana tunatoa muongozo ulio sahihiMichango yenu inahitajika ndugu
Pamoja sanatuko pamoja ndo maana tunatoa muongozo ulio sahihi