Mkuu hi chuma bado unayo ,uzoefu ukoje kwa ubora wake /durability na upatikanaji wa spare.Gari nzuri, ninayo zaidi ya mwaka sasa haijawahi kusumbua. Kama anavyosema mdau mmoja mziki wake ni mkubwa, mwonekano wa ndani mzuri tofauti na baadhi ya TOYO. Ina injini kubwa na unafuu wa mafuta utaona Highway na safari ndefu.
Kama matumizi yako ni route fupi na muoga wa mafuta SIKUSHAURI.
Ngoja nimjibie ni hivi, hii gari ninayo na sijuti kuwa nayo comfortability iko vizuri sana seat za mbele iko na leg room fresh kabisa, sio muandishi mzuri itoshe kusema ni gari poa ina ground clearance kubwa inayofaa kwenye barabara za vumbi.Mkuu hi chuma bado unayo ,uzoefu ukoje kwa ubora wake /durability na upatikanaji wa spare.