Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mpaka inafika bongo inakula ngapWale wenzangu wenye hela za.mawazo kutokana na ngazi za juu kubana na bado unataka SHOW OFF ya SUV kimbilio ni Mitsubishi Outlander kwa 500 USD unaagiza gari toka Japan.
Fuel consumption: 1ltr = 17kms
vipuri vipo vya kutosha.
Ah aah rekebisha kauli ushuru no 150%Tatizo ushuru ni asilimia 100% hawataki tumiliki magari
20m anauza na unga?Kuna mshikaji anauza yakwake kaitumia kama miezi Kumi.Bei 20m
Mkuu hiyo gari nikali sana na ulaji wake wa mafuta ni nzuri sana.20m anauza na unga?