3 365 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 1,377 Reaction score 1,456 Aug 8, 2019 #1 Wakuu heshima kwenu, Nahitaji kununua hili gari,mwenye uzoefu au taarifa zake anishauri, Ina matatizo gani hasa na spea zake zinapatikana?
Wakuu heshima kwenu, Nahitaji kununua hili gari,mwenye uzoefu au taarifa zake anishauri, Ina matatizo gani hasa na spea zake zinapatikana?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 8, 2019 #2 Ngoja waje kukuelekeza... Cc: mahondaw