Zipo nyingi, ingawa sio sana ila nakutana nazo sana tu. Plus bei yake imesimama piaUkiona gari ni nzuri lakini sio nyingi mjini na bei yake ni cheep, J.I.O.N.G.E.ZE tu, kwa nchi yetu gari ndogo na uhakika chukua TOYOTA tu, hao akina MITSUBISHI ni wazuri kwenye magari makubwa tu.....