Mitsubishi pajero ni gari nzuri hapa Tanzania kweli?

Mitsubishi pajero ni gari nzuri hapa Tanzania kweli?

Hivi mistubish pajero ni gari nzuri hapa Tanzania kweli?

Sana tu, ila za kisasa zina umeme mwingi na usipokuwa makini mafundi watakupa ugonjwa wa moyo.

Engine 2 ambazo zimekuwa successful sana kwa Mitsubishi suv ni 4D56 na 4M40, these are the best.

Shogun ni Gari yenye body nzuri sana na Inakuja na engine ya diesel au petrol yenye cc zaidi ya 3000....

Hii ni Gari nzuri, ila bwana hata ikioshwa bila umakini maji yakagusa control unaweza ua gearbox.

Hii shogun ikipata 4m40 ya cc 2800 yenye intercooler na engine ya manual is one of the best car you can have.
 
Mimi ningeomba kujua mapungufu ya Mitsubishi gdi ni yapi?
 
Tafuta za miaka ya nyuma zenye engine 4m40 turbo diesel intercooler, zipo Poa sana
 
Mitsubishi gari ya kichoko sana, kama huamini nunua tu. Wengi vipato vyetu kawaida ila hio gari itakutoa jasho la ugoko sio kama Toyota zilivyo.
Damn!! Sikutegemea hili toka kwako chief, uchoko wa Mitsubishi uko wapi? Nna Mitsubishi Outlander na haijawahi nisumbua. Sasa wote tukiwa na Toyo, brand nyingine nani atamiliki? Au unamaanisha Mitsubishi pajero as per thread?
 
Mitsubishi gari ya kichoko sana, kama huamini nunua tu. Wengi vipato vyetu kawaida ila hio gari itakutoa jasho la ugoko sio kama Toyota zilivyo.
Mwanetu utafutiwe ubalozi wa Toyota tu hakuna namna maana si kwa kuwapigia chapuo hadi team Zingine kama BMW, VW, Nissan tunaona gere. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sana tu, ila za kisasa zina umeme mwingi na usipokuwa makini mafundi watakupa ugonjwa wa moyo.

Engine 2 ambazo zimekuwa successful sana kwa Mitsubishi suv ni 4D56 na 4M40, these are the best.

Shogun ni Gari yenye body nzuri sana na Inakuja na engine ya diesel au petrol yenye cc zaidi ya 3000....

Hii ni Gari nzuri, ila bwana hata ikioshwa bila umakini maji yakagusa control unaweza ua gearbox.

Hii shogun ikipata 4m40 ya cc 2800 yenye intercooler na engine ya manual is one of the best car you can have.

4m40 niweka injini ya 5L aaah acha kabisa.
 
Mitsubishi gari ya kichoko sana, kama huamini nunua tu. Wengi vipato vyetu kawaida ila hio gari itakutoa jasho la ugoko sio kama Toyota zilivyo.
Usiwatishe mkuu.
Nina 4m40 mwaka wa 7 huu japo mimi nimeweka injini ya 5L
 
Ninayo Mitsubishi Pajero
Car Model: CBA-V93W
Body type: Station Wagon
Year of Manufacture: 2007
Engine no. 6G72
Engine Capacity: 2970
Door 5
Seat 7
Fuel: Petrol.
Top speed 220km/hr

Toka niipate mwaka huu mwezi wa nne; ilikua na leakage ya engine tu, nilibadili gasket haijanisumbua hadi leo.

Highway inanipa consumption ya 9-10km/L
Ni gari yangu ya kwanza; haijanisumbua hata kidogo na ni heshima kuwa nayo as ni SUV ambayo iko ligi moja na akina Prado.
Wanaopenda ligi inawafaa....ila mimi ni familu guy, top speed yangu huwa naishia 100-110km/hr
 
Back
Top Bottom