H HAKUNAGA JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 301 Reaction score 72 Oct 26, 2018 #1 Wadau naomba kupata ufahamu kuhusu hii gari (Mitsubishi Pajero V78W; Engine CC 3200-Diesel) ubora au mapungufu yake (mechanically), fuel consumption etc
Wadau naomba kupata ufahamu kuhusu hii gari (Mitsubishi Pajero V78W; Engine CC 3200-Diesel) ubora au mapungufu yake (mechanically), fuel consumption etc
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Oct 29, 2018 #2 mshana na Team yako njoo muweke sawa mambo
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,795 Oct 29, 2018 #3 Hizi ni gari stable sana bara barani. Just imagine gari inagongana na SCANIA. SCANIA inaanguka ila yenyewe ipo wima!
Hizi ni gari stable sana bara barani. Just imagine gari inagongana na SCANIA. SCANIA inaanguka ila yenyewe ipo wima!