Mitungi ya Oxygen ya Muhimbili ingetumika Kariakoo

Mitungi ya Oxygen ya Muhimbili ingetumika Kariakoo

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,188
Reaction score
2,113
GTs,

Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
 
GTs,

Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Wewe ni chizi, unaelewa mahitaji ya Muhimbili kwa hizo oxygen?

Tanzani oxygen wapo pale banda la ngozi Nyerere road ndio kwenye kiwanda.

Umewaza ujinga mtupu.
 
Utashangaa hata ramani ya underground tunnel zilizopita hapo hawana, hapo ukiwaleta magaidi wa Hamas hiyo kazi ya kuokowa wanaifanya kwa masaa tu kupitia underground tunnel.
Nani amekuaminisha kua Hamas ni magaidi?

Ni nani mwenye mamlaka ya kubrand wenzake kua ni magaidi? hua anatumia criteria gani katika hayo maamuzi?
 
GTs,

Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Aina ya mitungi kama ile ya muhimbili haifai kwa janga kama la kariakoo.
Kwa hili la kariakoo ilitakiwa ioatikane compressed air machine, kisha iungiwe pipe line ambayo inhepenyezwa hadi underground
 
Washauri ni wengi sana wanaoshauri ujinga.

Tuwape muda wataalam WA majanga na uokozi wapige kazi.

Lakini yakizidi masaa 72 toka lishuke wataamini wote wamkufa kishujaa na zoezi la kuondoa kifusi linafuata.
 
Back
Top Bottom