shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Wewe ni chizi, unaelewa mahitaji ya Muhimbili kwa hizo oxygen?GTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Chalamila amesema mitungi ya gesi imepelekwaGTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Utashangaa hata ramani ya underground tunnel zilizopita hapo hawana, hapo ukiwaleta magaidi wa Hamas hiyo kazi ya kuokowa wanaifanya kwa masaa tu kupitia underground tunnel.Chalamila amesema mitungi ya gesi imepelekwa
Kuna inlet.Itawafikiaje huko chini hiyo oxygen
Jambo la muhimu ni kuokolewaGTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Wamefanikiwa kuwapelekea Hadi maji na glucose.Itawafikiaje huko chini hiyo oxygen
Muhimbili nao wana wagonjwa wanahitaji hiyo mitungi, wao wachomolewe mashine tu wapelekewe wale?GTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Yote heri....compressor hutoa hewa safi pia...zitafaaaWamefanikiwa kuwapelekea Hadi maji na glucose.
Nani amekuaminisha kua Hamas ni magaidi?Utashangaa hata ramani ya underground tunnel zilizopita hapo hawana, hapo ukiwaleta magaidi wa Hamas hiyo kazi ya kuokowa wanaifanya kwa masaa tu kupitia underground tunnel.
Hata Al qaeda siyo kundi la kigaidi.Nani amekuaminisha kua Hamas ni magaidi?
Ni nani mwenye mamlaka ya kubrand wenzake kua ni magaidi? hua anatumia criteria gani katika hayo maamuzi?
Jibu swali nililokuuliza.Hata Al qaeda siyo kundi la kigaidi.
Aina ya mitungi kama ile ya muhimbili haifai kwa janga kama la kariakoo.GTs,
Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
Ingawa imechelewa? Lakini Angalau hii itaokoa ndugu zetu walioishiwa hewa huko chini.Chalamila amesema mitungi ya gesi imepelekwa