Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu sana. Miujiza ni kitu gani? Ni mambo yanayotokea yakipingana na sheria za asili au ni mambo yanayopata na sheria za asili lakini hatuwezi kuyaelewa sababu ya uwezo wetu mdogo?
Mambo yanaweza fanyika kinyume na sheria za asili? Inasemwa Mungu hutenda miujiza. Je hubadilisha sheria za asili? Au ni vile tu hatuelewi anavyofanya kama ambavyo wazee wetu hawakuelewa bunduki inatoaje risasi?