The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Muujiza au miraculous/miracle hii ni nguvu ya nuru isiyo ya kawaida na utumiaji wa nguvu kwa njia ya kushangaza ni istilahi chanya ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mwanadamu.
Kinyume cha Muujiza ni Uchawi; Uchawi/Black magic/ Witchcraft/Magism hii ni Elimu ya juu iliyo nje ya milango mikuu mitano ya mwanadamu ni Elimu isiyokubaliana na akili ya Binadamu kwa haraka.
Jambo lolote linalofanyika nje ya uwezo wa milango ya ufahamu ya Mwanadamu ni Miujiza au Uchawi.. Istilahi Hasi ya nguvu itendayo nje ya maarifa ya kawaida ya Mungu na Mwanadamu ni Uchawi. Muujiza na Uchawi yote ni sawa tofauti ni katika kusudio, kusudi la Uchawi ni kudhuru Wakati Miujiza ni kuponya.
Ili Muujiza na Uchawi utendeke ni lazima ziende kinyume na sayansi ya kimwili sharti livunje kanuni za asili, ucha - utiifu/ awi - mabaya yaani utiifu wa mabaya. Kanuni za asili na sayansi kama psychology, universal laws, astrology/elimu ya nyota, spirituality/elimu ya kiroho na nyinginezo.
Jambo lolote lisiloweza kuvunja kanuni za asili kamwe haiwezi kuitwa Uchawi au Muujiza isipokua ni akili, maarifa na ujuzi wa hali ya juu. Uchawi ni nguvu hasi ya kiroho au ubatili, Muujiza ni nguvu chanya ya kiroho au haki, Muujiza na Uchawi zina codes, patterns au siri zake ili ziweze kufanya kazi.
Kuna Muujiza wa kufundishwa na Muujiza wa Asili huu muujiza wa asili mtu huzaliwa nao toka tumboni kama Manabii, Mitume na watu hawa huwa wachache mno watu hawa huwa na Nguvu isiyokawaida na Hekima ya ajabu mno ya kimungu mfano kama Mtume Yohana, Yesu Kristo ambapo Yesu alikua nayo toka tumboni mwa mama yake kwa njia ya Roho Mtakatifu.
Muujiza mwingine ni wa kufundishwa kama wachungaji ambapo hawa husomea na kufuzu hujifunza kuombea watu na mengineyo. Uchawi nao upo wa aina nyingi kuna uchawi wa asili/kuzaliwa, uchawi wa kufundishwa, uchawi wa kurithishwa na uchawi pacha. Huu uchawi pacha wengi wanakua nao ila hawajui kama ni uchawi mfano nguvu ya maneno yako ukitamka kwa njia mbaya au hasi juu yako au juu ya mwingine, uchawi huu ni kama laana kumtamkia mtu laana ila Kuna tofauti ya uchawi na laana.