Miundo mbinu ya usafirishaji na mawasiliano tanzania, je analenga kuwakwamua wananchi kiuchumi?

Miundo mbinu ya usafirishaji na mawasiliano tanzania, je analenga kuwakwamua wananchi kiuchumi?

hengo

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
402
Reaction score
50
Heshima kwenu wakubwa.Leo ilikuwa siku ya mjadala wa bajeti ya Uchukuzi, malumbana yalipamba moto kwa wabunge wavyama vyote kueleza usimamizi duni wa wizara hiyo, na ndipo mbunge wa Ludewa Mhe.Deo akaweka bayana kuwa ni bora Waziri moja afe kuliko wananchi kuendelea kupoteza maisha kutokana na miundo mbinu duni husani barabara na reli.Je, nini maoni yako wewe juu ya hali ya miundombinu kama mwanaharakati na mzalendo wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom