Jeshi halina wataalam ila hawataki kukiboresha ili liwe na wataalam kutokana na sera ya serikali...hii ndo ilikuwa muda muafaka kuonesha maana ya jeshi.Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.
Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha.
NInamuomba Amiri Jeshi Mkuu atumie mamlaka aliyonayo kuliagiza JWTZ kushiriki kwenye hii dharura inayoendelea kutaabisa maeneo mengi nchini
Msanii
Mkuu jeshi si wakandarasi.Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.
Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha.
NInamuomba Amiri Jeshi Mkuu atumie mamlaka aliyonayo kuliagiza JWTZ kushiriki kwenye hii dharura inayoendelea kutaabisa maeneo mengi nchini
Msanii
ni mapema mno. bado hakuna ulazima wa kufika huko,Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.