Miundombinu inaharibiwa Serikali ipo kimya

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526

Hili daraja linapatikana mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea linatenganisha kata ya msamala na mshangano.Bampa za pembeni zimekatwa kila uapande mita kama 15 Tazama picha.Pia hapa daraja hili jembamba sehemu ya wapita njia hakuna lingepanuliwa kuepusha ajali mana magari mengi sana yanapota hapa.
 
Sasa ndg kama wamekata saa9 uck inakuwaje?
 
ni muhimu kila mwanainchi kuwajibika kikamilifu katika kutunza na kulinda miundombinu hii, yenye umuhimu wa kipeekee sana kwetu sote, inayojengwa kwa gharama kubwa sana za wavuja jasho wa Tanzania kupitia kodi.....

lakini pia, ikibainika kuna hujuma ya miundimbinu mahala fulani, bas, ni vizuri tena bila lawama ila uzalendo kutoa taarifa kwa mamalaka husika kuanzia ngazi ya vijiji au mitaa na kuendelea.....


hata hivyo, asant sana kwa taarifa,
 
Nadhani wewe kama ni mtanzania pia utakuwa mpumbavu kuja kulaumu watu wanaosikitishwa na hali hii.

Kwa akili zako unadhani mleta mada alimwona mtu au watu wanaoharibu ndio akaja kuandika hapa?
 
Ok.uharibifu huu inaonesha ilifanyika usiku wa manane.
 
S
Waliokata si nyie hao hao wa songea na msamala? Kwani kuna mtu katoka singida kuja kukata?
Kwa hiyo unataka serikali iweke walinzi kwenye kila daraja?
Sasa unadhani mharibifu huyu anaharibu mchana?tunaonaga gari za patroo kids ya saa24 je huwa wanalala ifikapo sa8-9 usiku?
 
Nadhani wewe kama ni mtanzania pia utakuwa mpumbavu kuja kulaumu watu wanaosikitishwa na hali hii.

Kwa akili zako unadhani mleta mada alimwona mtu au watu wanaoharibu ndio akaja kuandika hapa?
Kama mimi mpumbavu basi wewe msen&e kabisa kwa ulichoandika hapo 🖕
 
Kila mtu ana wajibu wa kulinda miundombinu ya Nchi...Apo mkiingia humo darajan mkavunja viuno wala serikali haitakuwepo
 
Halafu hicho kipande cha chuma utakuta kimeenda kutengeneza jiko la mkaa...
 
Halafu hicho kipande cha chuma utakuta kimeenda kutengeneza jiko la mkaa...
Hahaaa kwa uimara wake kuimarisha chasesi ya gari.usikute bosi alitowa mpunga wa kuagiza vyuma mijaa imejiongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…