Miundombinu ya kuwezesha usalama kwa Watu wa Mbagala upoje?

Miundombinu ya kuwezesha usalama kwa Watu wa Mbagala upoje?

Ennnny

New Member
Joined
Apr 27, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Hivi maeneo ya Mbagala, muda wa usiku kuna mataa ya kutosha mtaani au ni giza giza. Usalama kwa ujumla ukoje hususan maeneo ya ndanindani?
 
Hili swali ni la kiutafiti juu ya mamna ya kuboresh usalama wa maeneo kwanama ya kiujenzi kwa kuzingatia matumizi mazuri ya mwanga hasilia yani Jua na mwanga artificial
 
Huko labda rais wa awamu ya 7 akitokea huko, ndio watafikiriwa vitu kama hivyo. Kwa sasa waendelee kuimba kazi iendelee..
 
Dar karibia asilimia 80, ya mji hakuna taa za uma, mbali na mitaa ambayo imepita barabara za lami.

Maeneo mengi Dar wanatumia taa za majumbani, nashangaa unaulizia mbagara, wakati kuna mitaa magomeni watu hutumia giza la mitaa kukaba na makahaba kujiuzia.
 
Back
Top Bottom