Dar karibia asilimia 80, ya mji hakuna taa za uma, mbali na mitaa ambayo imepita barabara za lami.
Maeneo mengi Dar wanatumia taa za majumbani, nashangaa unaulizia mbagara, wakati kuna mitaa magomeni watu hutumia giza la mitaa kukaba na makahaba kujiuzia.