A
Anonymous
Guest
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za Wanafunzi.
Pia soma > KERO - Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu
UFAFANUZI WA UDOM
JamiiForums.com ilipowasiliana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa wa UDOM, Rose Mdami kuhusu hoja hiyo ya Mdau amesema:
Tumelazimika kuzunguka kwenye hosteli zote kufanya ukaguzi hatujabaini changamoto yoyote ya aina hiyo, kuna sehemu moja ambayo ilikuwa na changamoto ya mfumo wa Bomba la maji taka lakini sio kama ilivyoripotiwa.
Sehemu nyingine zenye changamoto ndogondogo zimeshafanyiwa kazi, lakini pamoja na hayo tunashukuru kwa taarifa kama hizi kwa kuwa zinapokuja zinafanyiwa kazi na Uongozi wa Chuo.