Miwani kwa ajili ya kuendeshea Gari au piki piki usiku

uta

Member
Joined
May 1, 2012
Posts
54
Reaction score
24
TURN NIGHT TO BRIGHT(POLARIZED VISION GLASSES)
Ni miwani mizuri sana kwa madereva wa gari na pikipiki,inasaidia kuona vizuri usiku ukiwa unaendesha ,kwa kupunguza mwanga mkali wa taa za magari(full light) ambao unaeza sababisha ajali.
Inasaidia pia kuona clear wakati wa mvua

Bei 35,000/= kwa reja reja na 30,000/=kwa jumla

Piga 0656-816616,0766-004940

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ukiizoea hiyo, siku ukiikosa hutaweza kueendesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…