Eye EmporiumHabari za usiku waungwana,
Nauliza ni hospital ipi nzuri au duka la miwani ambalo wanapima macho na kutoa miwani hapa DSM?
Natanguliza shukrani za dhati
NHIF sina uhakika mkuu.Kwa kutumia bima ya NHIF
Ccbrt uhakika. Dingi yangu alifanya operations zake pale kwa bima ya NHIFShukrani. Wanatibu kwa kutumia bima ya NHIF. Maana kuna baadhi nilienda wakasema hawahudumii kwa bima ya NHIF
Hadi leo sijawahi kujua ni kwanini wameweka hicho kiwango.Aisee sasa nini maana ya bima, unakatwa halafu nako kwenye bima tena unachangia?
Ndio mkuu,na gharama zao nafuu sana pia,na ukienda uwahi sana maana panajaa sana ukiwahi utapata huduma mapema,ukichelewa utakaa sana kwa foleniShukrani. Wanatibu kwa kutumia bima ya NHIF. Maana kuna baadhi nilienda wakasema hawahudumii kwa bima ya NHIF