INAUZWA Miwani maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV

biznes_dealz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
392
Reaction score
153
NOTE: Hizi ni goggles hazina lenzi na hazina athari yoyote na macho
______________________
* Miwani hii ni maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV.
* Kama wewe ni muathirika wa tatizo hili utaona dalili mbaya kama zifuatazo:
* Kichwa kuuma chenyewe, macho kutoa machozi, macho kuuma kila unapotumia KOMPYUTA, SIMU au TV.
* Ukiona dalili hizo jua unaathiriwa na mionzi mikali ya kompyuta.
_______________________
Napatikana: DAR ES SALAAM, duka lipo Kinondoni Studio
________________________

BEI: Tshs. 50,000

Tuwasiliane: 0659-358-599
_______________________
MIKOANI tunatuma kwa njia salama na ya uhakika ya magari, haujawahi kupotea mzigo wa mtu katika mikono yetu.
Mikoani tunatuma kwa njia salama ya magari.

Mbona Wewe unauza ghali Sana

Duuh watu wanataka kuwa matajiri haraka Sana

Sawa bwana endelea kuwauzia hivo

Kila la kher
 
Linda macho yako leo kutokana na madhara makubwa yatokanayo na mionzi mikali ambayo husababisha:

1. Kichwa kuuma chenyewe
2. Macho kuwasha
3. Macho kutoa machozi

Kwa wateja zangu wote waliowahi kununua hii miwani kutoka kwangu msiache kutoa mrejesho hapa kwa faida ya watu wengine.
 
Jua jinsi ya ku deal na wateja wa kila aina, jamaaa kakuuliza kama ka mtego ili kujua ulinganifu wa bei.

Wew umejaa povu.

Hapana viongozi nilirelax wakati najibu hilo swali nikijua ataniletea ushahidi kuwa kuna sehemu amepata kwa rahisi, na mimi nilimtega kusudi wala sikuwa nimepaniki.
 
Kweli kabisa ulichosema wala hukukosea mkuu
 
Anayesema hiyo 50K ni nyingi anaweza kweli kuhudumia mke na watoto? Hiyo miwani online ni almost $19-$22 sasa kuagiza hadi ifike Tz unataka auze 10K?
Tuache ujuaji katika mambo ya msingi!!
 
Anayesema hiyo 50K ni nyingi anaweza kweli kuhudumia mke na watoto? Hiyo miwani online ni almost $19-$22 sasa kuagiza hadi ifike Tz unataka auze 10K?
Tuache ujuaji katika mambo ya msingi!!

Bora uwaambie kiongozi, katika vitu ninavyouza hizi miwani mpaka naziingiza jasho linanitoka, watu wengi nafikiri kwa kutoelewa wanaleta usumbufu kwenye biashara za wenzao, hawajui ni namna gani umehangaika kiasi gani mpaka umeiingiza nchini.
 
LINDA MACHO YAKO KUTOKANA NA MIONZI MIKALI YA KOMPYUTA, SIMU PAMOJA NA TV... TUMIA MIWANI MAALUM

NOTE: Hizi ni goggles hazina lenzi na hazina athari yoyote na macho.
______________________
* Miwani hii ni maalum kwa ajili ya kuzuia mionzi mikali itokanayo na KOMPYUTA, SIMU pamoja na TV.
* Kama wewe ni muathirika wa tatizo hili utaona dalili mbaya kama zifuatazo:
* Kichwa kuuma chenyewe, macho kutoa machozi, macho kuuma kila unapotumia KOMPYUTA, SIMU au TV.
* Ukiona dalili hizo jua unaathiriwa na mionzi mikali ya kompyuta.
_______________________
Napatikana: DAR ES SALAAM, duka lipo Kinondoni Studio.
________________________

BEI: Tshs. 50,000
Tuwasiliane: 0659-358-599

_______________________
MIKOANI tunatuma kwa njia salama na ya uhakika ya magari, haujawahi kupotea mzigo wa mtu katika mikono yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…