Alipotoka alikuja kavaa miwani meusi ya jua. Nilishangaa. Sikuacha mshangao uweke alama ya mshangao moyoni mwangu. Nikamuuliza: ' What's the matter goggles in the night?'
Akanijibu:' No, no, no thesea are no ordinary spectacles. Try them and you'll see!'
Nilifanya hivyo. Japo mwenzangu alikuwa kavaa nguo kwangu alikuwa uchi wa mnyama.
Mmm, nikawaza hivi nikiwa na baba yangu, mama yangu, mimi mwenyewe, mke wangu na wenetu huyu dada angelikuwa anatuona sote uchi wa mnyama!
Nikajiuliza yaani hawa wanaokwenda Marekani kila siku, ujumbe mzima kuna wapelelezi wa Kimarekani sio chini ya malefu wanaoona video za uchi za bure? Na huku eti tunazungumzia kuondoa picha chafu kwenye mtandao. Kumbe ukiwa na miwani hii ya Kimarekani unaona tena kila kitu 'laivu'?
Isitoshe Austria, Switzerland na Ubelgiji kuanzia Januani mwaka huu zitakuwa na SCANNER ambayo inawaruhusu jamaa wa maigresheni kukuona hadi sio tena matusi ya nguoni bali matusi ya ngozini! Haya mliopo Marekani na Ulaya waelezeni Watanzania wasishangae watu kuvaa nguo fupi, sijui vimini na vitopu vile, kwani ukweli, ni kuwa ukiwa na miwani ya infraredi leo unafaidi kila kitu. Sintoshangaa kuona wauza miwani jijini wakiichangamkia biashara hii haraka iwezekanavyo maana Wataiwani na Wakorea kama kawa wameshaanza kazi.
Ukitembea njiani sikuzi ukaona mtu kavaa miwani myeusi jua ya kwamba anakuona kila kifaa chako kama ulivyozaliwa! Kazi!
Lazima hapa Bubu atataka kusema na kiziwi atasikia angalau mngurumo wa injini ya satelaiti ya Wahindi iliyokwnda anga za juu hiyo jana wakati tulianza nao daraja moja la umasini mwaka 1960!
mbunge