Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
Wajuzi wa mawani za macho mnisaidie nisije kupofuka.
Kipindi cha nyuma nilikuwa nina UONI hafifu sana. Nilikuwa siwezi kuona mbali.
Baada ya muda nikapima nikapatiwa miwani yenye 1.5 lens capacity.
Nimetumia lenzi husika kwa miezi saba nikawa naona lenzi inakosa nguvu kabisa, nikaenda hospital wakanibadilishia wakaniwekea lenzi imara kidogo ya 2.5.
Lenzi hii ya 2.5 ni nzuri sana kiasi kwamba NAONA vitu vyote kwa usahihi mpaka najisikia raha natamani niwe natizama tu. MAANA NAHISI macho yameponywa.
Lakini nikivua tu miwani NAHISI NAKUWA KIPOFU COMPLETELY. Hata ule uoni hafifu wa mwanzo umezidi kuwa hafifu MARA MIA ZAIDI. Kwahiyo kimsingi MAWANI hayabanduki usoni kutwa kuchwa nimebeba maglasi usoni.
Hivyo basi kuvaa mawani ndio kunaharibu kabisa UONI halisi?? na nitatakiwa kuvaa haya mawani muda wote wa maisha yangu? ama baada ya muda nitapona ili niyatue haya maglass???
Wajuvi............
AMBOKILE AMANZI.