miwami hiyo ipo kwa 200millioni. shida yote ya nini si bora uende na 1500 buguruni ukaone live. tena ukiwa 20000 sijui utaona ngapi?. hadi zitakukinai.
Buguruni ipi,.. Mkuu, sio kuchafu sana uko?
miwami hiyo ipo kwa 200millioni. shida yote ya nini si bora uende na 1500 buguruni ukaone live. tena ukiwa 20000 sijui utaona ngapi?. hadi zitakukinai.
Hilo jina lako avatar vipi?Nasikia kuna miwani ambayo mtu akiivaa unaweza ona tupu za watu. Maana mzungu kama anaweza kuiona sayari ya Nibiru kwa kiona mbali atashindwaje kutengeneza miwani hii.
Sijui zimeingia kwetuu? Naona zitawafaa sana bidada kuona akina john na ali kama wana vibamia au mihogo. LOL.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] nima san na hilo ndo jibAiseeh! Kweli maisha magumu yanaweza kuvuruga mfumo wa kufikiri vyema.
Kwa hivyo hutosheki kuona tupu yako na ya mwenza wako na pengine watoto wako, sasa unataka kuona tupu ya mama, baba, dada, kaka na majirani na kila mutu!
Hata hivyo unachouliza ni sawa na kuhitaji miwani ya kuona ndani ya nyumba kupitia ukuta ilhali we uko nje!
Huko kwenye sayari ni anga lenye hewa, vifaa vinavyotumika ni kwa kuvuta vitu vilivyo mbali vionekane viko karibu!
Steve Jobs - Giant Of Technology.