mh kaka hiyo miwani ni bei kubwa sana tafuta frame nzuri tu ambayo ina half frame yake inakuwa inafunika nusu tu au robo ya kioo,, otherwise sidhani aina hiyo kama ina bei rahisi.
Kioo inategemea unataka cha plastic au vile vigumu, na je ni kile cha kubadilika rangi kwenye jua au kipi, nenda pale survey kuliko na mgahawa wa EURO H kuna maduka mengi na kuna duka wanauza miwani na wana daktari wao naona kuna nafuuu kidogo hapo