Miwasho baada ya kuoga ? je inasababishwa na nini?na dawa yake n ipi?

k2 gan kifanyike il I tatizo liishee

Mkuu pole sana hilo tatizo lilinisumbuaga sana mwaka juzi,nilimeza dawa za minyoo,nikachemsha alovera nikanywa na kuogea hola.Nilienda kwa daktari makini sana akanipima akanipa ethromaizine ikagonga mwamba akanipima malaria akakuta nina malaria akanikuta na 3 akaniuliza unatumia dawa gani ya malaria nikamwambia amodaquine basi nikaenda nikanywa 3 x 2 nikaacha mkuu kesho yake muwasho ukakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…