mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Kuna dawa za kuinsert kwenye vagina jina limenitoka na aliwahi pewa vidonge piaHospital walisema ana ugonjwa gani?
Abadilishe chupi anazovaa avae chupi mpya cotton na ahakikishe anakua mkavu akioga ajifute maji huko
Inaweza kua anachotumia kushave, uti au maradhi mengine yoyote yale
Alipewa dawa zipi??
Hizo dawa anatakiwa akitumia usifanye naye mapenzi mpaka amalize doz akae kidogo kama wiki atumie tena mkuu maybe ni fangasi hao abadilishe chupi anazovaa akiwa anatumia doz piaKuna dawa za kuinsert kwenye vagina jina limenitoka na aliwahi pewa vidonge pia
Tatizo halisi hawakusema walisema infection tu sasa hiyo infection ya nini yeast, bacteria or what ndo haijulikaniHospital walisema ana ugonjwa gani?
Abadilishe chupi anazovaa avae chupi mpya cotton na ahakikishe anakua mkavu akioga ajifute maji huko
Inaweza kua anachotumia kushave, uti au maradhi mengine yoyote yale
Alipewa dawa zipi??
Ungemuuliza dokta ni haki yako kujuaTatizo halisi hawakusema walisema infection tu sasa hiyo infection ya nini yeast, bacteria or what ndo haijulikani
Ahsante kwa ushauri wako nitautendea kazi madamHizo dawa anatakiwa akitumia usifanye naye mapenzi mpaka amalize doz akae kidogo kama wiki atumie tena mkuu maybe ni fangasi hao abadilishe chupi anazovaa akiwa anatumia doz pia
Karib sanaAhsante kwa ushauri wako nitautendea kazi madam
Hatuna mkuuAnaweza kuwa na Genital warts
Amepima ngwengwe?
Nakusubiri mkuuMm nimekuwa nikisumbuliwa mbuliwa na tatizo hilo karibu miaka saba sasa ngoja narudi nije kakupatia maelezo vizuri kwani maramwisho nilienda Hindu Mandal hospital dokta akafanya uchunguz na kusema sio fungus walikuwa wakinisumbua Kuna tatizo alinitajia ntaenda kukuangalizia kwenye vyeti vyang vya hospital na kusema kwamba nahitaji dawa za muda mrefu kama miezi mitatu hivi ili tatizo langu liweze kuisha
Ni hivi mkuu nilipoenda hospital kwanza kabisa dokta aliniambia kwamba shida yangu kitalaam inajulikana kama Tinea Cruis na dozi nlizikuwa napatatiwa zisingeweza kuondoa tatizo bari kupunguza tu na baada ya muda itajirudia. Kwahiyo dokta aliamua kuniandikia dozi ya muda mrefu yaan miezi mitatu ili tatizo liweze kuisha. Dokta alisema kwamba ntatumia dawa ya kupaka na vidonge mwezi mzima mfurulizo na pia baada ya hapo ntaanza kutumia poda kupaka na hadi pale miez mitatu itapoisha inshallah mambo yanaweza kuwa sawa kwa sasa nko ntaendelea na doz na hari yang inaendelea vzuri huu ni ushauri wangu kwan kipindi chote hicho nlijua nasumbuliwa na fungus kumbe sio fungusNakusubiri mkuu
Nimechimba kuhusu huo ugonjwa ulioutaja hapo naona kutumia vitunguu maji au swaumu yasaidia pia ukivipaka kwa muda then ukaviondoa kwa maji hii imekaaje?.,,Ni hivi mkuu nilipoenda hospital kwanza kabisa dokta aliniambia kwamba shida yangu kitalaam inajulikana kama Tinea Cruis na dozi nlizikuwa napatatiwa zisingeweza kuondoa tatizo bari kupunguza tu na baada ya muda itajirudia. Kwahiyo dokta aliamua kuniandikia dozi ya muda mrefu yaan miezi mitatu ili tatizo liweze kuisha. Dokta alisema kwamba ntatumia dawa ya kupaka na vidonge mwezi mzima mfurulizo na pia baada ya hapo ntaanza kutumia poda kupaka na hadi pale miez mitatu itapoisha inshallah mambo yanaweza kuwa sawa kwa sasa nko ntaendelea na doz na hari yang inaendelea vzuri huu ni ushauri wangu kwan kipindi chote hicho nlijua nasumbuliwa na fungus kumbe sio fungus
GYNOZOLKuna dawa za kuinsert kwenye vagina jina limenitoka na aliwahi pewa vidonge pia