Mixx by Yaas wamecharuka leo, hakuna huduma ya mtandao

Mixx by Yaas wamecharuka leo, hakuna huduma ya mtandao

Yas sasa hv ukinunua G5 za internet unatofauti na mtu aliyenunua mb za 500 ,maaana c Kwa Kasi waliyonayo ya kula mb ....

Ni huzunii
Hata fiber yao kwangu inasumbua kila nikiwapigia wanasema tutafix ndani ya saa 24 lakini hakuna kitu
 
Back
Top Bottom