Maandiko Yako wazi, watu wangu waangamia kwa kukosa maarifa!Si wote waniutao Bwana Bwana wanafundisha yaliyo ya kweli. Hata shetani hujigeuza malaika wa Nuru.Mshirika akiwa na uhitaji wa pesa anaambiwa inabidi aombwe maombi apate pesa au mafanikio lakini wahubiri wenyewe wa kisasa wakitaka pesa wanasisitiza sana washirika wamtolee mungu matoleo ya sadaka...
Wao walimuomba Mungu awape watu ili hao watu Wamsaidie kuipeleka Injili Mbele. ni kama Serikali inawataka Mulipe Kodi ili wawaletee maendeleo ila wao wanaishi kwa anasa sana na hizo kodi zenu.esa au mafanikio lakini wahubiri wenyewe wa kisasa wakitaka pesa wanasisitiza sana washirika wamtolee mungu matoleo ya sadaka, Sasa kwa nini na wao wenyewe wasiombe na kumsubiria mungu awape baraka.
Mungu analinda Roho sio mwili. hata Yesu alikuwa na wanafunzi Kumi na wawili hao ndio walikuwa wanamlinda. Mlinzi mmoja alimkata sikio askari waliokuja Kumkata Yesu.Kuna wengine wanatembea na bodyguards mabaunsa huku wanasisitiza sana mungu ndiye mlinzi wa watu wake.
Wa madhabahuni wanakula madhabahuni. Usije kujidanganya kuna mtumishi eti anaishi kwa anasa. Maisha yao ni ya Kujinyima sana.Wengi ni matajiri wanaishi maisha ya anasa huku wanahubiri injili ya mtu aliyekuwa masikini na wanaohubiriwa wenyewe ni mafukara malofa wa kutupwa