Mizani inayotumika kupimia uzito wa madini ya dhahabu na silver

balwani

Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
34
Reaction score
20
MIZANI au SCALE inayotumika kupimia uzito wa madini ya dhahabu na silver na madini mengineyo.

* Inapima kuanzia uzito wa gram 1 mpaka kg 5.

* Mashine ni mpya kwenye waraka wake na inatumia betri za kawaida ndogo ambazo zinapatikana madukani.

* Napatikana DAR ES SALAAM, MBEZI MWISHO.

* Delivery kwa wakazi wa DAR ni shilingi 5000

* BEI YA SCALE NI TSHS. 60,000

* MIKOANI TUNATUMA KWA MAGARI

* Tuwasiliane: 0659-358599
 
Mkuu chukua 50k Naitaka Hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…