NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Pole na majukumu
Hongera kwa kuitwa kwenye kikosi kazi cha katiba na maridhiano.
Bahati nzuri wewe ni mtoto wa mkulima na unatambua katiba iliyopo inatesa na kufukarisha wakulima Kila siku kwa kuwalinda wabadhirifu na wapigaji wa pembejeo za wakulima!
Tutetee sisi wajukuu zako wakulima wenzio kwa kusaidia mchakato wa katiba uende Kasi kuliko kuuzorotesha kama makada wengi wa CHAMA wanavofanya.
Uepuke laana ya uzeeni Babu yangu!kiokoe kizazi chetu na udhalimu uliopo unaotafuna kizazi chako ewe Mzee!
Fanya kinyume na matarajio ya mteuzi wako Ili uikoe Tanzania yetu!utakumbukwa daima kama shujaa!waunge mkono kina Warioba na jenerali ulimwengu!!
Naamini utaufanyia kazi ushauri WANGU kwa KUWA huna cha kupoteza.
Mungu akutangulie Babu yangu.
MUNGU ibariki TANZANIA.