Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
wakuu!ile siku ya wapendanao iliyojaa mizengwe ya udanganyifu na utapeli wa kimapenzi hususani kwa walio na wapenzi wengi ndio hiyo inakuja!hebu mwaga stori yako uliyowahi kumpiga au kupigwa changa la macho ktk siku hii!yaweza pia kuwa stori ya kuona au kusikia ili watu wajifunze na kujiepusha na maumivu au kujiandaa kuyameza!karibuni wakongwe