Mizengwe ya Valentines Day

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
4,641
Reaction score
3,680
wakuu!ile siku ya wapendanao iliyojaa mizengwe ya udanganyifu na utapeli wa kimapenzi hususani kwa walio na wapenzi wengi ndio hiyo inakuja!hebu mwaga stori yako uliyowahi kumpiga au kupigwa changa la macho ktk siku hii!yaweza pia kuwa stori ya kuona au kusikia ili watu wajifunze na kujiepusha na maumivu au kujiandaa kuyameza!karibuni wakongwe
 
Dah!! Hii ni dalili yakusema hujampata Ms Valentine.... Karibu nyumbani, kuna mabinti wengi....
 
mi na mwali tushakuwa booked.

Mwali kavimba macho kule nyumbani from kulia... eti Ivuga kamtenda na kumchagua Kabakabana! (Yule kijana atanitambua mboona!) Eheee naskia upo juu umemnyakua Fang?? Umempataje? lol Me so proud of you...
 
furahi kuona wewe.....hope uko vizuri sasa......
Happy Valentine's.....Super Dear.....
 
furahi kuona wewe.....hope uko vizuri sasa......
Happy Valentine's.....Super Dear.....

Thanks Dearest.... Nipo vema kabisa... Thank God.

Happy Valentine to you too and I believe ushaanza maandalizi....:tongue:
 
pole kwa kujiandaa na maumivu..
 
Preta nasubiria jibu la Valentine for only tomorrow and not whatsoever another day
AshaDii karibu sana
Tulikumiss sana

hivi sijakwambia eeh.....kesho natoka na Ndallo....wewe jumatano bana.....
 
sawa mbona wakongwe wanarukaruka hawalet hayo ma experience?
 
Preta nasubiria jibu la Valentine for only tomorrow and not whatsoever another day
AshaDii karibu sana
Tulikumiss sana

Niliwamiss pia Pal, how has it been.

Are you assured of your valentine buddy?
 
sawa mbona wakongwe wanarukaruka hawalet hayo ma experience?

mkuu umeona enhe?walete tu watu wapate experience bila kushiriki ktk tukio halisi!wakongwe wa mambo hayo ya sarakasi za mapenzi kama babu aspirin na timu yake nawasubiri kwa hamu hapa wawape vijana uzoefu!karibuni the boss,figganigga,cholo,g.mpoleee etc!
 
ashadii,mi nimeshaoa na mtoto juu!Mungu yu mwema nafurahia ndoa yangu kila siku ipitayo!

Mc Tilly Mbona sasa maneno yako yakukatisha tamma kwa ambao hawajapata? Huoni kama wawavunja moyo na wewe uko pazuri, si ilitakiwa basi uwape maoni hasi....
 
hivi sijakwambia eeh.....kesho natoka na Ndallo....wewe jumatano bana.....

preta,lete experience bana!ushawahi kuwapanga kama mafungu ya maembe siku hii?ndallo atakuwa peke yake kesho?au mchana lunch yeye dinner mwingine?lete stori hata kama ilikuwa miaka ya 70 enzi zako!
 
Mc Tilly Mbona sasa maneno yako yakukatisha tamma kwa ambao hawajapata? Huoni kama wawavunja moyo na wewe uko pazuri, si ilitakiwa basi uwape maoni hasi....

stori zikija hapa watu watajifunza,wengine tumejaribu kufanya mambo mazuri kwa kujifunza toka kwenye matukio ya watu wengine,ndio maana nimechokoza watu hapa!isnt that positive in its own way?
 
Niliwamiss pia Pal, how has it been.

Are you assured of your valentine buddy?

Salama kabisa
Yeah am sure na hilo usiwe na wasi wasi nalo kabisa
Liko under control
I was asking if Preta can be my Valentine
And it is only tomorrow not forever
 
miaka 10 iliyopita nikiwa ktk duka letu la zawadi!kuna jamaa alikuwa kutoa oda ya zawadi 3 za valentine kwenda kwa wapenzi wake!tena eti kadi akanipa nimwandikie!nikashangaa yani hao wapenzi wake hawajui hata mwandiko!asubui akachukua 1 akapeleka,mchana nyingine jioni akamalizia ya mwisho!jamaa aliwapanga wote wa 3 mno!
 
kudanganyana tena!!
Mie mradi nimekula vizuri na watoto, hao wengine watajibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…