Mizigo Posta

Mizigo Posta

big mike

New Member
Joined
May 28, 2009
Posts
4
Reaction score
0
HI,
wiki hii nimepata mzigo wangu kutoka online store ya asos, Huwa naagizaga viatu, Kwa ufahamu wangu huwa vitu vikiwa chini ya kilo mbili(2) huwa hulipii Ushuru/customs(TRA). Hiyo mizigo inafuatwaga nakitengo cha ofisi kiitwacho mail room na hao hukuletea hadi mezani kwako. Leo cha ajabu mtu wa mail room akaja na karatasi ya posta anasema posta wanataka uende kuchukuwa mwenyewe. Kuna watu wengine pia vitu vyao vilikuwa vimefika, tukaongoza pale Posta, Tukaambiwa kuwa tunatakiwa kulipa Ushuru. Tatizo hii ni Order kama ya kumi ya viatu na fanya, na ni pair moja tu ya viatu. Sikupewa maelezo ya kuleweka pale Posta.

Naomba kujua kama hili nimemtokea mtu mwingine pia, na kama ni utaratibu mpya au leo ni bahati mbaya tu wamekosea.

Nashukuru sana
 
Unapoagiza kitu nje lazima ulipe ushuru ,na ushuru hauzingatii uzito wa mzigo .Inawezekana pia mzigo ukafunguliwa kuangalia kama unaendana na ulivyo andikwa nje .
 
Back
Top Bottom