Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaaHabari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi.
Asanteni
Asante sana!Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa