W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,541 Reaction score 3,872 Aug 14, 2018 #1 Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni
Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,674 Aug 14, 2018 #2 Milioni kumi kama sikosei nakisia unataka kulipia Semitrela
T TheGreatGenius JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 260 Reaction score 726 Aug 14, 2018 #3 wiser1 said: Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni Click to expand... Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa
wiser1 said: Habari nyote, naomba kufaham ni aina gani na shilingi ngapi inayotakiwa kulipiwa forodha / ushuru kwa mizigo inayotoka nje ya nchi. Asanteni Click to expand... Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa
W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,541 Reaction score 3,872 Aug 20, 2018 Thread starter #4 TheGreatGenius said: Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa Click to expand... Asante sana! Sent using Jamii Forums mobile app
TheGreatGenius said: Ingia website ya TRA utaona categories za import zote na kodi ya kuilipia itatofautiana bidhaa na bidhaa Click to expand... Asante sana! Sent using Jamii Forums mobile app