Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

Inadaiwa marekebisho ya mfumo yamepelekea mizigo kukwama airport kwa wiki sasa na hakuna taarifa ya lini mfumo utakaa sawa
Agent wako anakutia ujinga kila siku mizigo inatoka hapo Airport huo mfumo umezuia mzigo wako pekee yako Mkuu
Siku nyingine uwe unatoka hapo ofisini kwako nenda site.
 
Back
Top Bottom