Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Mizinga ipungue jamani, mnatesa wanaume

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Good morning.

Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.

Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.

Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
 
Problem with you guys hujipendi. Jipende just even mara moja kwa mwezi, jinunulie mguo, toka out na ashkaji. Ukimuweka mwanamke priority ya maisha yako you wont get anywhere
 
IMG-20240615-WA0239.jpg
 
Good morning.

Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.

Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.

Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Tafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🤣
 
Wajinga ndio waliwao

Meth 7:7 Na nilipokuwa nikiwachunguza wajinga, Nilitambua miongoni mwa vijana, kijana fulani mwanamume asiye na busara.
8 Alipita barabarani karibu na njia panda anapoishi mwanamke huyo, Naye akashika njia inayoelekea nyumbani kwa mwanamke huyo
........
21 Anampotosha kwa ushawishi mkubwa. Anamtongoza kwa maneno laini.
22 Ghafla kijana huyo anamfuata, kama ng’ombe dume anayeenda machinjioni, Kama mjinga anayeenda kuadhibiwa katika mikatale,

Jumapili njema
 
Hapa kikija kijamaa kinacholelewa na mshangazi, shida zake mshangazi unamaliza kama holy holm na wengine basi utaona sapoti, "tumia fursa, fursa ikija usiache, raha ya mashangazi wanahudumia....."
Hadi mnashukuru Mungu kuwa ndio kawapa mishangazi.

Ila mwanamke yeye akihudumiwa mineno kama yote, nyau nyie.....
 
Back
Top Bottom