Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Problem with you guys hujipendi. Jipende just even mara moja kwa mwezi, jinunulie mguo, toka out na ashkaji. Ukimuweka mwanamke priority ya maisha yako you wont get anywhereGood morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.
Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Tafuteni hela mkuu....Good morning.
Aisee dume zinateseka humu duniani.Dume inanunulia mrembo nguo ya bei kubwa mpaka laki mbili na zaidi, chipsi, pochi, smartphone n.k.
Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima mpaka mbili imeridhika. Dume imekomaa uso kwa shida ya pesa.
Jamani nyie mubinti punguzeni basi hii adhabu kwa dume yenu.
Inasemekana kuna wasichana wanakuroga ili usahau kuwatunza wazazi wako.Kumpenda mwanamke apart from my mama zaidi ya ninavyojipenda mwenyewe ni uzuzu.
acha ujanja ujanja binti hela tafuta zakwako zakwetu tunakazi nazoTafuteni hela mkuu....
Ukiwa na pesa hata kumfanyia shopping ya 1 milliin sio issue mazee....
Minaona mhawi noti tu, mengine yote ni bisingizio..🤣
Kanijuaje huyu?Angalia hiyo dume inatupia suruali moja na shati kauka nikuvae mwaka mzima.
Hongera kwa kujitunzaNdo mana mm mpaka leo hii nna miaka 35 lkn sijawahi kuwa na mpenzi wala sijawahi kufanya mapenzi, nasubir wakati wa mungu anipe mke
Wakati sahihi ni wa mungu 😎Hongera kwa kujitunza
Kwani anatunza nini?!Hongera kwa kujitunza