Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

acha uchoyo wewe ....yani wewe nimume wa mtu halafu mi niwe mchepuko nisubirie dudu tu na hatuna future.. kuchunwa lazima wewe na acha uchoyo unafikiria kutiwa na limwanaume limume la mtu ni raha .. pesa zenu ndiyo raha .. sikukuu njema mfyuuuuuu
Ujue bado ni asubuhi hii.. ndio maneno gani hayo wewe mtoto wa kirombo????
 
lakini angeileta hiyo mbunye ungeila bila hata kufikiria mume wake angejisikiaje.. mpe zawadi mtoto ni baraka tena toa bila kuomba mbunye
Mmh! Sio kwa usawa huu wa Magu my dear! Baada ya sikukuu hawapatikani hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…