Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Mambo vipi wakuu?

Kutokana na miangaiko ya utafutaji wa kila siku; imenibidi kutenga angalau siku mbili ndani ya wiki, nikashangae kwa kubadilisha mazingira ya hapa na pale; angalau nifurahie uwepo wa kuwa hapa duniani.

Sasa hivi, nipo hapa njia panda kwenye hichi kilima, kuelekea mbugani; namngojea huyu mrembo wa jf tuambatane naye ili anipe kampani.

Hofu yangu, naogopa asije akanipiga mizinga mizito mpaka nikapoteza fahani.

Wakuu, kwa uzoefu wenu; mizinga ya warembo wa humu, ni kama ile inayopigwa Ukraine au Somalia?​
 
Back
Top Bottom