African culture tamu sana, ila jamaa alikosea kuwaweka kitanda kimooja, yale mambo yahitaji faragha.
Nchini Canada kuna kesi ya kikatiba mahakama kuu kudai sheria inayozuia mitala ifutwe (kuna watu wa asili ya kule wanaitaka na ni wengi) na inaonekana ina upepo mkali kuitikisa serikali.
Hata mimi siioni mantiki ya kuzuia mitala halafu kuruhusu ushoga na usagaji, ni heri kupiga marufuku ushoga na usagaji na kuruhusu man to have more wake.