dist111
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 3,758
- 3,199
Heshima Zenu Wakuu!
Jana nilikuwa na Washkaji, tulikuwa tunazungumzia uagizaji wa bidhaa toka nje, Ila mjadala mrefu ukazuka kuhusu bandari salama na nafuu kupokelea mzigo wako kati ya ile ya Dar es Salaam na ile ya Mombasa.
Baada ya mjadala mrefu sana wa faida na hasara za bandari zote akatokea mdau mmoja ambae ameshafanya biashara na bandari zote. akitoa mifano kamili akasema bandari ya mombasa ni nzuri zaidi hasa kwa usalama wa mzigo na uharaka wa kupata mzigo wako ukiacha gharama ya ziada ya kama $200-300!
Je ni kweli bandari ya mombasa ni bora zaidi? (Pamoja na Mabadiliko yote Dr Mwakyembe aliyofanya ni kweri bandari yetu iko chini kihivo?)
Naomba kuwasilisha,(Ni vizuri ukielezea utoe mifano ya ukweli ili watu wajifunze)