Mjadala: Bandari ya Dar es Salaam Vs Mombasa

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,758
Reaction score
3,199
Heshima Zenu Wakuu!

Jana nilikuwa na Washkaji, tulikuwa tunazungumzia uagizaji wa bidhaa toka nje, Ila mjadala mrefu ukazuka kuhusu bandari salama na nafuu kupokelea mzigo wako kati ya ile ya Dar es Salaam na ile ya Mombasa.

Baada ya mjadala mrefu sana wa faida na hasara za bandari zote akatokea mdau mmoja ambae ameshafanya biashara na bandari zote. akitoa mifano kamili akasema bandari ya mombasa ni nzuri zaidi hasa kwa usalama wa mzigo na uharaka wa kupata mzigo wako ukiacha gharama ya ziada ya kama $200-300!

Je ni kweli bandari ya mombasa ni bora zaidi? (Pamoja na Mabadiliko yote Dr Mwakyembe aliyofanya ni kweri bandari yetu iko chini kihivo?)

Naomba kuwasilisha,(Ni vizuri ukielezea utoe mifano ya ukweli ili watu wajifunze)
 
Wateja wengi walio katika nchi zisizo na port kama malawi na zambia walikuwa wakitumia port ya dar kwa kuwa ni rahisi kwao lakini mwaka jana na juzi wengi waliama...sijuhi baada ya mwakyembe mambo yapo vp ??wizi ulikuwa wa hali ya juu nilituma gari mwaka juzi nilipoliona nililisahau waling'oa kila kitu...kwa usalama ilikuwa zero..gharama pia tra wana makadirio ya juu sana kulipia toyota ist..ya mwaka 2003 yenye cc1300 ni tsh 3.5ml hachana na gharama nyingine za bandari...the same vehicle mombasa ni 2.6ml ila utakapoingiza bongo unao
 

Thanks mkuu! Mi najua hata ukiingizia mzigo wako Mombasa bado kodi utalipia TRA before then utawaonyesha risiti pale Mpakani wakati wa ukaguzi, then baada ya uakaguzi kama una plate namba waweza ibandika na then its ready for other services,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…