Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Suruali ya mwana aliyenyoosha mkono iko poa zaidi.Kwasiku za karibuni kumekuwa na mjadala wa vijana wa kiume kuendana na wakati. Ambapo kwenye suala la mavazi haswa suruali kumekuwa na mitizamo tofauti.
Kuna wanaobana sana suruali bila kujali ni jeans au ya kitambaa, kiasi cha kukamata mapaja mpaka chini kwenye turn up. Pia wale wengine huvaa suruali kama jamaa wa dini flani.
Kuna wanaovaa saizi ya kawaida kutokana na miili yao ilivyo halafu kuna wale wanaovaa "mabwanga".
Je ipi ni saizi ya kawaida ya suruali ya kiume? Inayobana, kawaida au bwanga?
Karibuni kwa mjadalaView attachment 1214281
Suruali nyingi saiv haziwekwi turn up, ziko kawaida kama cadet tu.Ukitaka kujua size ya upana wa suruali unaotakiwa kuvaa fanya hivi, chukua upana wa kiuno chako kama ni 32 basi gawa kwa mbili ambayo ni 16 hiyo 16 ndo inabidi iwe urefu wa suruali kule kwenye turn up
noted!Mwanaume vaa nguo ikae vizuri, siyo mwanaume una vaa nguo imekunata mpaka mtu akikuona uko mbali anaanza kujiweka sawa akijua wewe ni binti ili ukifika tu akutongoze!
Ukifika karibu yake kumbe ni dume!
Kila MTU ana Uhuru wa kuvaa anavyotaka!kwangu Mimi siwezi kuvaa suruali pana coz hazinipendezi kabisa,siwezi kujizeesha kizembe natupia vitu Italian styleKwasiku za karibuni kumekuwa na mjadala wa vijana wa kiume kuendana na wakati. Ambapo kwenye suala la mavazi haswa suruali kumekuwa na mitizamo tofauti.