Mjadala: Hivi suruali ya kiume inatakiwa iwe na upana upi?

Mimi chini 14 na kiuno 30
 
Ukitaka kujua size ya upana wa suruali unaotakiwa kuvaa fanya hivi, chukua upana wa kiuno chako kama ni 32 basi gawa kwa mbili ambayo ni 16 hiyo 16 ndo inabidi iwe urefu wa suruali kule kwenye turn up
Wazo zuri
 


Wa pili kutoka kushoto na wa kwanza kulia ni washamba.....suruali haivaliwi mkunduni hata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…