Wakuu,
Leo kupitia hapa nitaendesha mjadala huru kabisa kati ya wapenzi, wakereketwa, na wanachama wa vyama viwili vikubwa vya siasa Tanzania CHADEMA na CCM.
Tutaangalia hatma ya nchi yetu kwa kuangalia mitazamo mbalimbali kama;
Karibuni kwa mnakasha huu.

- Ni nini Watanzania wafanye nchi iendelee na ipae kiuchumi?
- CCM imefanya nini kuwatoa wananchi wake wanaoishi chini ya dola moja kwa siku?
- CCM kama chama tawala kinafikiria nini juu ya vijana taifa la leo?
- CHADEMA kama chama mbadala ambacho iko siku kitashika dola, kinafanya nini kubadili fikra za Watanzania ziwe fikra bora kabisa juu ya nchi yetu Tanzania?
Karibuni kwa mnakasha huu.